- 1,170 viewsBiden amewasili Angola katika ziara yake ya kwanza aliyoahidi kuifanya barani Afrika, kusini mwa jangwa la Sahara kama rais. Biden aliwasili Angola Jumatatu kuanza ziara yake iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu huko Afrika, kusini mwa jangwa la Sahara na atatumia siku tatu za ziara yake kukabiliana na ushawishi wa China kwa kutangaza mradi wenye matarajio makubwa wa reli unaofadhiliwa na Marekani. Ujenzi wa reli unaojulikana kama Lobito Corridor unaofufuliwa tena huko Zambia, Congo na Angola una azma ya kuendeleza uwepo wa Marekani katika eneo lenye utajiri wa madini muhimu yanayotumiwa kutengeneza betri za magari ya umeme, vifaa vya kieletroniki na teknolojia ya nishati safi. Biden kwanza alisimama katika kisiwa cha Atlantiki huko Cape Verde kwa muda mfupi, alifanya mazungumzo ya faragha na Waziri Mkuu Ulisses Correia e Silva. Akiwa Angola, Biden amepanga kukutana na Rais wa Angola Joao Lourenco, kutembelea Makumbusho ya Taifa ya Utumwa na atakwenda katika mji wa bandari wa Lobito kuuangalia mradi huo wa reli. -AP #biden #us #angola #luanda #voa
Biden awasili Angola katika ziara yake ya kwanza aliyoahidi kuifanya barani Afrika
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has outlined a bold vision for Kenya should he clinch the presidency in the 2027 General Election.
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has launched a scathing attack against President William Ruto, questioning his integrity, and suitability to hold public office.
- 6 Aug 2025 - Firebrand Busia Senator and 2027 presidential hopeful Okiya Omtatah has declared his net worth to be in the range of Ksh.100 million to Ksh.200 million.
- 6 Aug 2025 - A section of Members of Parliament allied to the Kenya Kwanza administration have strongly rejected a report by the Kenya Human Rights Commission (KHRC) that called for the scrapping of the Hustler Fund.
- 6 Aug 2025 - A 14-year-old who was on the verge of being married off in Kajiado County was rescued, amidst rising concerns of early child marriages during the school holiday season.
- 6 Aug 2025 - Six Kenyans sue polls agency for blocking petitions to recall MPs
- 6 Aug 2025 - Raila's sudden opposition to NG-CDF after 20 years silence
- 6 Aug 2025 - The building collapse that sparked Tanzania's jobs ban
- 6 Aug 2025 - How firm's bid to turn waste into cash is paying off
- 6 Aug 2025 - MPs threaten to impeach Mbadi, PS for 'contempt'