Biden: Tuko makini kuhakikisha Iran haitengenezi silaha za nyuklia

  • | VOA Swahili
    100 views
    Rais wa Marekani Joe Biden amesisitiza katika hotuba yake kwenye kikao cha 78 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba nchi yake inafanyakazi na washirika wake kukabiliana na vitendo vitakavyo tishia usalama wa kikanda na dunia. Endelea kusikiliza... #unga #voaunga #unga78 #biden #AU #AfricanUnion #ECOWAS #iran #vitisho #usalama #washirika - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.