Bidhaa za kumfaa mkulima kutoka GreenLife

  • | West TV
    30 views
    Mkulima anayejali uzalishaji wake shambani, kila wakati yuko mstari wa mbele kuhakikisha ardhi yake iko safi kwa tayari kwa matumizi , anajihami na virutubisho kabambe wakati wa kupigana vita na kwekwe na hata wakati wa mavuno.