Bilionea aliyenaswa akichepuka ajiuzulu kazini

  • | BBC Swahili
    2,996 views
    Bilionea na CEO wa Astronomer Andy Byron, amelazimika kujiuzulu baada ya kunaswa akichepuka na mfanyakazi mwenzake ambaye ni afisa Rasilimali Watu wa kampuni hiyo, Kristin Cabot katika tamasha la muziki la Coldplay. Teknolojia hutoa burudani, lakini pia huleta balaa. Je, tuwe tayari kwa Kiss Cam kwenye matamasha yetu? Mwandishi wa Habari @martha_saranga anatujuza zaidi 🎥:@frankmavura #coldplay #andybyron #bbcswahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw