Billy Mwangi, Ronny Kiplangat na Peter Muteti wawachiliwa huru baada ya kutekwa nyara

  • | TV 47
    145 views

    Billy Mwangi ameachiliwa baada ya siku 16.

    Mwangi aliwasili nyumbani kwao Embu saa mbili asubuhi.

    Ronny Kiplangat aidha alipatikana Machakos.

    Kiplangat ni nduguye mchora vibonzo Kibet Bull.

    Kibet Bull bado hajulikani aliko.

    Peter Muteti na Bernard Kavuli pia wameachiliwa.

    Muteti alikuwa ametekwa nyara eneo la Uthiru.

    Kavuli aidha amepatikana.

    #UpeoWaTV47

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __