Bingwa wa Upanga Rwanda kufundisha timu ya kimataifa

  • | BBC Swahili
    466 views
    Akiwa mtoto, Tufaha alitaka kujiunga na jeshi la Rwanda, lakini baada ya kushika upanga kwa mara ya kwanza, aligundua mapenzi yake ya kweli yalikuwa ni katika mchezo wa upanga. Akiwa na umri wa miaka 26, ameshinda medali za dhahabu katika mashindano ya upanga duniani kote na sasa anafundisha timu ya kimataifa katika klabu yake mjini Kigali. #bbcswahili #rwanda #michezo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw