Binti aacha kazi ya ualimu na sasa anafyatua matofali

  • | BBC Swahili
    Nancy Tarimo na Grace Meena kitaaluma ni walimu. . Hata hivyo mabinti hawa raia wa Tanzania wamepiga kisogo taaluma hiyo na kugeukia ujasiriamali. . Wanatengeneza matofali na vigae kwa kutumia mifuko ya plastiki na mchanga lengo ikiwa ni kuweka mazingira safi lakini pia kutengeneza kipato ijapokuwa bado uzalishaji wao ni wakusuasua kutokana na kutumia vifaa duni. đź“ą: Eagan Salla #mazingira #wanawake #wanawaketunaweza #wanawakenamaendeleo #tanzania #matofali #matofaliyakuchoma #BBCSwahili