Skip to main content
Skip to main content

Binti mwenye ndoto ya kuiwakilisha Tanzania Olimpiki katika mchezo wa kuogelea

  • | BBC Swahili
    2,668 views
    Duration: 2:20
    Crissa Dillip ni binti mwenye umri wa miaka 15 anayefanya vizuri katika mchezo wa kuogelea nchini Tanzania. Ana medali na tuzo zaidi ya 20 alizoshinda ndani na nje ya nchi. Licha ya umri wake mdogo, tayari amevunja rekodi nne za kitaifa katika uogeleaji. Hata hivyo, kwa sasa akiwa kidato cha nne, mwaka wa mtihani, swali kubwa limekuwa, anawezaje kuweka uwiano kati ya masomo na mazoezi ya kuogelea? Mwandishi wa BBC, @frankmavura amemtembelea kambini na kuzungumza naye kuhusu azma yake ya kuiwakilisha Tanzania katika Michezo ya Olimpiki ya mwaka 2028. #bbcswahili #tanzania #uogeleajetz Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw