Biwi la simanzi lilitanda wakati wa mazishi katika kijiji cha Serembe

  • | Citizen TV
    406 views

    Biwi la simanzi lilitanda katika kijiji cha Serembe kaunti ndogo ya Nyamira Kusini kaunti ya Nyamira, wakati wa mazishi ya Edinah Moraa na watoto wake wawili waliouwawa kinyama na shemejiye katika eneo la Marani kaunti ya Kisii usiku wa tarehe 15 Novemba.