Blinken asema Israeli Kamwe haitajitetea peke yake 'hasa kwa vile Marekani iko'

  • | VOA Swahili
    863 views
    - - - - - #VOASwahili Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken alisema leo Alhamisi Israel kamwe haitajitetea peke yake “hasa kwa vile Marekani iko.” Alikuwa akiongea pembeni ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu katika mkutano wa wanahabari mjini Tel Aviv.