Boda boda waamriwa kufunga kazi saa tatu usiku

  • | West TV
    38 views
    Kama njia moja ya kukabiliana na ukosefu wa usalama katika kaunti ya Kakamega, amri imetolewa kwa wahudumu wa boda boda kutoendesha shughuli zao nyakati za usiku kuanzia saa tatu hadi saa kumi na moja alfajiri.