Bodi ya barabara yaesema serikali imetenga fedha za dharura zitakazotumiwa kukarabati barabara

  • | Citizen TV
    258 views

    Bodi ya kitaifa ya barabara imesema serikali imetenga fedha za dharura za kukarabati barabara ambazo zitaharibiwa na mvua ya El-Nino inayotarajiwa kuanza kunyesha hivi karibuni.