Skip to main content
Skip to main content

Bodi ya hospitali ya Suguta Marmar Samburu yajiuzulu

  • | Citizen TV
    242 views
    Duration: 3:08
    Bodi ya usimamizi ya hospitali ya level IV ya Suguta Marmar kaunti ya samburu imejiuzulu. Haya yamejiri siku chache baada ya wakaazi wa eneo hilo kuandamana kulalamikia kuzorota kwa huduma hospitalini mbali na vifo vya kina mama wanaojifungua.