Bodi ya kampuni ya usambazaji maji kaunti ya Taita Taveta yavunjwa

  • | Citizen TV
    337 views

    Bodi ya kampuni ya usambazaji maji kaunti ya Taita- Taveta, Tavevo, imevunjiliwa mbali baada ya vuta nikuvute ya usimamaizi wa shirika hilo kuendelea huku zoezi la mahojiano ya kazi zilizotangazwa likitakiwa kufanywa tena upya.