Bodi ya kudhibiti dawa imepuuza madai ya kuwepo kwa vifo vinavyosababishwa na chanjo ya Covid 19

  • | KBC Video
    Bodi ya kudhibiti dawa na sumu imepuuza madai ya kuwepo kwa vifo vinavyosababishwa na chanjo dhidi ya Covid 19 ya Astrazeneca humu nchini. Bodi hiyo inasema kwamba kati ya visa 279 vya madhara ya chanjo hiyo vilivyonakiliwa, 272 vilitatuliwa katika muda mfupi. Wakati huo huo huo vifo 18 vilivyotokana na ugonjwa wa Covid 19 vimenakiliwa leo huku maambukizi mapya 1,523 yakiripotiwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive