Bodi ya leseni za kamari yatoa msaada shuleni Mbooni

  • | Citizen TV
    147 views

    Bodi Ya Kutoa Leseni Za Michezo Ya Kamari Imeonya Kampuni Zinayofanya Kazi Kinyume Cha Sheria, Ikisema Zitachukuliwa Hatua. Akizungumza Katika Shule Ya Watoto Walemavu Ya Kako Huko Mbooni Kaunti Ya Makueni Wakati Wa Kutoa Ufadhili Wa Vitanda Na Hundi,Mwenyekiti Wa Bodi Hiyo, Daktari Jane Mwikali Makau, Amesisitiza Umuhimu Wa Ushirikiano Na Utekelezaji Wa Sheria Katika Biashara Hiyo.