Bodi ya mifugo nchini yafanya msako wa maduka yanayo uza dawa za mifugo

  • | Citizen TV
    275 views

    Bodi ya mifugo nchini inafanya msako wa maduka ya kuuza dawa za mifugo nchini. Hii ni baada ya malalamishi na madai kuwa baadhi ya wafanyabiashara hao wamekuwa wakiuza dawa hizo kwa waraibu wa mihadarati. Maduka saba yamefungwa katika kaunti za Lamu, Tana river na Taita Taveta