Bodi ya Nafaka yakanusha madai ya upungufu wa mbolea Kirinyaga

  • | NTV Video
    16 views

    Bodi ya Kitaifa ya Nafaka na Mazao imekanusha madai ya seneta wa kaunti ya Kirinyaga kwamba kuna upungufu wa mbolea ya ruzuku katika kaunti hiyo na kwamba wakulima wamekuwa na wakati mgumu kupata mbolea hiyo licha ya kuwa na vocha halali kutokana na hitilafu za mara kwa mara za mifumo ya kielektroniki.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya