- 2,496 viewsDuration: 3:46Wakurugenzi wa bodi ya usimamizi wa Nairobi Hospital sasa wanamtaka rais William Ruto ambaye ni mlezi wa hospitali hiyo kutoingilia utendakazi wake. Wakiongozwa na mwenyekiti Barcley Onyambu, wakurugenzi hao wamepuuzilia mbali hatua ya madaktari watano kufanya kikao na rais kumlalamikia kuhusu uongozi wa hospitali hiyo. Wakurugenzi hawa wanasema mgogoro wa punde ni wa maslahi ya watu binafsi.