Bodi ya uainishaji wa filamu nchini yatoa onyo kwa wanaosambaza picha au video chafu mitandaoni

  • | K24 Video
    68 views

    Huenda ukatozwa faini ya shilingi laki mbili au ukatumikia kifungo cha miaka miwili gerezani au yote mawili endapo utapatikana na hatia ya kusambaza picha au video chafu mitandaoni. Haya ni kulingana na bodi ya uainishaji wa filamu nchini KFCB. Haya yanajiri wakati ambapo visa vya usambazaji wa video chafu mitandaoni vimeonekana kukithiri.