Bodi ya usajili yasema wataalamu bandia kwenye ujenzi wameongezeka nchini

  • | Citizen TV
    404 views

    Bodi ya usajili ya teknolojia ya uhandisi nchini imeonyesha kutoridhishwa na ongezeko la wataalamu bandia wanaofanya kazi duni kwenye ujenzi wa miundomsingi na majumba