Bodi ya wanafamasia ina wasiwasi kuhusu dawa bandia North Rift

  • | Citizen TV
    422 views

    Bodi ya wanafamasia inaelezea wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa wahudumu wa maduka ya dawa wasio na tajriba hii. Bodi hii inaandaa kikao na wanahabari mjini Eldoret