Boniface Anaya amejishindia donge nono la bonasi ya Shabiki Supa Jackpot.

  • | Citizen TV
    164 views

    Boniface Anaya kutoka eneo la Kawangware 56 jijini Nairobi ndiye, mshindi wa donge nono la bonasi ya Shabiki Supa Jackpot. Anaya ambaye amaekuwa akicheza kwa muda kwenye jukwaa la Shabiki.Com amejishindia Shilingi Milioni 1,665,862.06 baada ya kubashiri.