Boniface Anaya ameshinda bonasi ya shilingi milloni 1.67 za Shabiki Supa Jackpot

  • | Citizen TV
    524 views

    Boniface Anaya kutoka Kawangware 56 kaunti ya nairobi ndiye mshindi wa donge nono la bonasi ya shabiki supa jackpot... kwenye jukwaa la shabiki.com ametuzwa Shilingi Milioni 1.6 baada ya kubashiri mechi 14 kati ya 15 kwa usahihi. Samuel jane kutoka kinoo naye ameshinda shilingi 264,100 katika jackpot hiyo baada ya kubashiri mechi 13 kati ya 15 kwa usahihi.