Boniface Kariuki amezikwa nyumbani kwao Kangemi

  • | Citizen TV
    7,962 views

    Boniface Kariuki, mwanamume aliyekuwa na umri wa miaka 22 na amabaye alipigwa risasi na polisi akiuza maski jijini nairobi amezikwa nyumbani kwao huko Kangema kaunti ya Murang'a. viongozi waliohudhuria mazishi hayo wakiwemo viongozi w aupinzani wamewataka wananchi kusalia watulivu na kutumia kura yao kuleta mabadiliko nchini kupitia uchaguzi. Haya ni huku tume ya haki za kibinadamu ikisema kuwa vifo vya maandamano vimefikia watu 38.