Boniface Mwangi aachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni-1

  • | KBC Video
    37 views

    Mwanaharakati Boniface Mwangi amekanusha mashtaka mawili ya kupatikana na risasi pasi na kibali cha kumiliki bunduki. Hakimu mwandamizi Gedion Kiage, aliagiza Mwangi aachiliwe kwa bondi ya kibinafsi ya shilingi milioni moja akisubiri maelekezo kuhusu kesi hiyo katika muda wa majuma mawili yajayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive