Boniface Wasonga ndiye mshindi wa kwanza wa Jiomoshe na Shabiki Aviator

  • | Citizen TV
    202 views

    Bonface wasonga Mkulima wa viazi vitamu kutoka kaunti ya migori ndiye mshindi wa kwanza kwenye shindano la jiomoshe na shabiki aviator juma hili. Wasonga amejishindia shilingi 350,000 kwenye shindano hilo lililozinduliwa juma lililopita. Bonface ambaye alitumia shilingi hamsini kucheza alijishindia shilingi elfu themanini kwenye shabiki aviator, na kwa vile aligonga muda mrefu akipeperusha aviator, ametuzwa shilingi laki tatu unusu. shindano la jiomoshe na shabiki aviator linamtunuku mpeperushaji wa juu zaidi wa aviator kila siku na kila wiki. Kwa kushiriki mchezo huu wa aviator kwenye shabiki.com kando na burudani una nafasi ya kuibuka mshindi wa jiomoshe ambapo kuna shilingi 50,000 kila siku shilingi 350,000 kila wiki jumla ikiwa shilingi 3,000,000.