- 512 viewsKisiwa cha Chisi, nchini Malawi, kinakumbwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma za afya. Wagonjwa wanalazimika kushindana na muda, wakisafiri kwa zaidi ya saa mbili kuvuka maji kwa mitumbwi dhaifu. Lakini mwaka 2023 mambo yalibadilika baada ya kuletwa kwa “Boti ya Uhai”, inayowaunganisha wakaazi wa kisiwa hicho na huduma za dharura za afya zilizopo nchi kavu, hususan huduma za afya ya kina mama. Katika nchi yenye changamoto za usafiri kama vile barabara mbovu, gharama kubwa au ukosefu wa huduma za magari ya wagonjwa, hali inayochelewesha sana upatikanaji wa matibabu ya dharura, boti hii imekuwa tegemeo la kuokoa maisha. Anne Okumu anaelezea kwa kina #bbcswahili #malawi #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Boti ya Uhai: Tegemeo la kuokoa maisha Malawi
- 30 Aug 2025 - Kenya Union of Post-Primary Education Teachers (KUPPET) officials have called on the National Treasury to expedite the release of capitation funds to schools, or else schools will be forced to close at midterm.
- 30 Aug 2025 - The agreement also addresses congestion of trucks along key cross-border points.
- 30 Aug 2025 - A family in Ngurubani town in Mwea, Kirinyaga County, is struggling to come to terms after four members of one family perished in a fire under unknown circumstances.
- 30 Aug 2025 - Media personality Alex Mwakideu has opened up on one of the most painful financial mistakes of his life,
- 30 Aug 2025 - Both KCSE and KPSEA exams are scheduled to begin in October.
- 30 Aug 2025 - The trio were rescued by well-wishers who promptly rushed them to the hospital.
- 30 Aug 2025 - Ruto has appointed James Kibugu Wambu as the new non-executive chairperson of its board for a three-year term.
- 30 Aug 2025 - Individuals who are drugged may experience memory loss, hallucinations, and problems with vision.
- 30 Aug 2025 - The veteran councilor, who passed away at the age of 88, was laid to rest at Kithirune Primary School in Meru.
- 30 Aug 2025 - Kenyan actress and influencer Trisha Khalid was overcome with emotion as she revealed the mansion she is building