Boti yazama Mokowe, Lamu

  • | Citizen TV
    2,652 views

    Boti ya kubeba mizigo Kwa jina "24 Runners," ambayo ilikuwa imepakia mizigo zaidi ya tani 60 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 2, imezama mita chache kutoka bandari ya Mokowe, ikielekea Kismayu.