12 Sep 2025 11:05 am | Citizen TV 580 views Duration: 1:46 Baraza la wazee kutoka kasipul limeshauri bodi ya uchaguzi wa chama cha ODM kutoleta mapendeleo wakati wa mchujo wa atakayepeperusha bendera odm kwenye uchaguzi ndogo katika eneo la Kasipul.