Brenda Girls yang'aa katika mashindano ya Chapa Dimba na Safaricom.

  • | West TV
    51 views
    Timu za eneo la magharibi Brenda girls na Ebwali boys zimejikatia tiketi ya kushiriki nusu fainali ya mashindano ya kitaifa ya awamu ya nne ya chapa dimba na Safaricom yanayoendelea katika nyuga za mamboleo na moi jijini Kisumu sasa kivumbi kikitarajiwa ijumaa kati ya timu hizo mbili zitakazochuana na wiyeta girls ya bonde la ufa na obunga ya eneo la nyanza mtawalia