Bridgit Njoki, msichana wa miaka 12 aliyeuawa kwa risasi nyumbani kwao, azikwa Kiambu

  • | NTV Video
    721 views

    Ibada ya mazishi ya Bridgit Njoki, msichana wa umri wa miaka kumi na miwili aliyeuawa kwa risasi nyumbani kwao, imefanyika leo katika Kanisa la Katoliki la 'Our Lady of Fatima' katika Kaunti ya Kiambu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya