Bunduki na risasi zilizopatikana wakati wa uchunguzi wa makala ya #SilahaMitaani zarejeshwa

  • | Citizen TV
    Siku moja baada ya makala ya upekuzi yaliyopeperushwa hapa Citizen TV, silaha zilizopatikana wakati wa uchunguzi huo zimerejeshwa kwa idara ya usalama.