Bunge la Garissa lawataka vijana kuzungumza na serikali

  • | Citizen TV
    745 views

    Bunge la kaunti ya Garissa limewataka vijana kumpa Rais William Ruto nafasi ya kutimiza matakwa yao.Wakiongozwa na Naibu spika wa kaunti hiyo Abdirashid Mustafa, viongozi hao wamesema kuwa maandaman yanazidi kuleta taharuki, hasara na aidha wamewataka polisi kutumia sheria kulinda mali na maisha ya wakenya