Bunge la Isiolo launga mkono wito wa mazungumzo

  • | Citizen TV
    829 views

    Bunge la kaunti ya Isiolo limeunga mkono wito wa mazungumzo wa rais William Ruto likitaka maandamano yanayoendelea nchini kusitishwa. wawakilishi wadi wanawataka vijana kumpa rais muda wa kutekeleza malalamishi yao.