Bunge la kaunti ya Kiambu limepitisha sheria ya kudhibiti vileo

  • | Citizen TV
    435 views

    Bunge la kaunti ya Kiambu limepitisha sheria ya kudhibiti vilabu na baa pamoja na maduka ya kuuza vileo katika kaunti ya Kiambu na kuweka faini kwa yeyote atakeyapatikana akienda kinyume na sheria hizo.