Bunge la kaunti ya Turkana laendelea kuandaa mazishi ya mwakilishi wadi Lakezone Michael Egialan

  • | Citizen TV
    251 views

    Bunge la kaunti ya Turkana limeanza maandalizi ya mazishi ya mwakilishi wadi ya Lakezone Michael Egialan Ekwar. Ekwar alifariki usiku wa kuamkia jumapili katika hospitali ya St Luke's Eldoret, baada ya kuugua saratani ya koo