Bunge la seneti kujadili ripoti ya kamati kuhusu fedha na bajeti

  • | KBC Video
    20 views

    Bunge la seneti linatarajiwa kujadili ripoti ya kamati kuhusu fedha na bajeti kuhusiana na mswada wa mgao wa fedha kwa kaunti wa mwaka 2023 kabla ya kusomwa kwa bajeti mwezi Juni. Mswada huo utatoa nafasi ya kugawanywa kwa fedha zilizokusanywa na serikali za kaunti .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #senate #financebill