Bunge la Seneti laandaa kikao maalum hii leo kutathmini hatma ya William Oduol

  • | Citizen TV
    403 views

    Bunge la seneti linatarajiwa kuandaa kikao maalum adhuhuri ya leo kujadili ripoti ya kamati ya seneti kuhusu hatua ya bunge la kaunti ya siaya ya kutaka naibu gavana William Oduol kung'atuliwa. Bunge la kaunti hiyo limemlaumu Oduol kwa utumizi mbaya wa mamlaka na uvunjaji sheria.