Bunge la seneti lanuia kufanya mabadiliko sheria ya kuwabandua magavana afisini

  • | K24 Video
    24 views

    Bunge la seneti lanuia kufanya mabadiliko sheria ya kuwabandua magavana afisini, hatua ambayo huenda ikawapa afueni baadhi ya magavana waliobanduliwa afisini, kuwania nyadhifa za uongozi kwa mara nyingine sawia na kuweka vigezo vya kusaidia kutatua utata kati ya magavana na wawakilishi wadi kabla utata huo kufika katika bunge la seneti.