Bunge la seneti latoa pendekezo la kubadili sheria liongezewe nguvu

  • | Citizen TV
    206 views

    Bunge la Seneti hii leo limetoa pendekezo la kubadilisha ya baadhi ya vipengee vya sheria, ili kuongezea bunge hilo mamalaka zaidi kuimarisha ugatuzi. Akizungumza jijini Kisumu hii leo, kiongozi wa wengi katika seneti Samuel Phogisio alibaini kuwa bunge hilo lilishindwa kutekeleza baadhi ya majukumu yake, kutokana na sheria zilizopo ambazo alidai zinalipatia bunge la taifa mamlaka zaidi ya seneti.