28 Aug 2025 1:14 pm | Citizen TV 2,051 views Duration: 1:58 Kwa siku ya pili leo, Bunge la Seneti linaendelea kusikiza madai yalichochea kuondolewa mamlakani kwa Gavana wa Kericho DKT. Eric Mutai.