Bunge laingia gizani Zimbabwe

  • | BBC Swahili
    616 views
    Bunge la Zimbabwe liliingia gizani ghafla wakati Waziri wa Fedha Mthuli Ncube alipokuwa akimalizia hotuba yake ya bajeti. Taa hizo ziliwaka na kuzima na kuwaacha viongozi akiwemo Rais Emmerson Mnangagwa, Makamu wa Rais Constantino Chiwenga na wabunge wameketi gizani. #bbcswahili #zimbabwe #bunge Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw