Bunge yatakiwa kuitengea tume ya IEBC shilingi bilioni 2.6 za kulipa pesa zinazodaiwa na mawakili

  • | KBC Video
    21 views

    Kamati ya bunge la kitaifa kuhusu haki na masuala ya sheria, sasa inataka bunge kuitengea tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC shilingi bilioni 2.6 za kulipa pesa zinazodaiwa na mawakili. Mwenyekiti wa kamati hiyo George Murugara aliambia kamati ya bunge kuhusu bejeti kwamba kutotenga pesa hizo kutasababisha tume ya IEBC kutozwa ushuru.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #iebc #darubini