Bungoma iko tayari kwa sherehe za Madaraka

  • | West TV
    205 views
    Gavana wa bungoma ken lusaka amedhibitisha kuwa sherehe za kitaifa za madaraka zitaandaliwa katika uga wa masinde muliro kanduyi huku shughuli za maandalizi zikiimarishwa kwa ushirikiano wa serikali ya kaunti na ile ya kitaifa.