Bungoma: Wakazi waitaka serikali ya kaunti kukamilisha ujenzi wa soko na kituo cha kuegeshea magari

  • | NTV Video
    269 views

    Wafanyabiashara pamoja na wahudumu wa matatu na bodaboda mjini Kanduyi, Kaunti ya Bungoma, wameitaka serikali ya kaunti kukamilisha ujenzi wa soko na kituo cha kuegeshea magari.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya