Buriani kwa Wanajeshi | Wanajeshi Kinyua na Nyawira walifariki kwenye ajali ya ndege

  • | Citizen TV
    3,973 views

    Huku taifa likiendelea kukadiria hasara ya ajali ya ndege ya Alhamisi iliyosababisha mauti ya Jenerali francis ogolla na maafisa wengine tisa, kaunti ya kirinyaga inaomboleza vifo vya wanajeshi wawili walioangamia kwenye ajali hiyo. jamii ya sergent Rose Nyawira na ile ya sajenti John muriithi zimeanza mipango ya kuandaa mazishi ya wapendwa wao, huku wakiomba uchunguzi wa kina kufanyika kubaini kiini cha ajali hio.