Skip to main content
Skip to main content

Busia: wakazi waelezea kutoshuhudia manufaa yoyote ya madeni ya taifa ambayo inazidi kuongezeka

  • | NTV Video
    177 views
    Duration: 3:16
    Kufuatia ongezeko la madeni ya taifa, baadhi ya wakazi wa kaunti ya Busia wakiwemo akina mama mboga, wahudumu wa bodaboda na wataalam wa bajeti wanaelezea kutoshuhudia manufaa yoyote ya mikopo ila ni mfumo unaotumiwa kuwanufaisha watu wachache nchini. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya