- 184 viewsDuration: 3:50Serikali ya kaunti ya Busia inalenga kuboresha mifugo hasa ng'ombe ili kuimarisha uzalishaji wa maziwa katika kaunti hiyo kupitia mbinu za kisasa za upandikizaji mimba kwa mifugo. hatua hiyo inalenga inalenga kuongeza uzalishaji wa maziwa ili kukomesha utegemezi wa bidhaa hiyo kutoka nchi jirani ya Uganda.