Bustani ya Uhuru Park imerejeshewa kaunti ya Nairobi

  • | Citizen TV
    837 views

    Wizara ya ulinzi iliikabidhi rasmi bustani ya Uhuru Park kwa serikali ya kaunti ya Nairobi. Hii ni kufuatia miaka miwili ya ukarabati wa bustani hiyo uliofanywa na wanajeshi.